Posts

KANUNI 16 ZA KUISHI MAISHA YAKO.

Image
rethink relive Habari yako ndugu msomaji wangu, wa mfululizo wa machapisho yanayogusa maisha yetu moja kwa moja hususani uwezo tulionao wanadamu wa kutufanya tuishi. Maisha yanakila kitu tunachotaka ila maisha hayatupi tunachotaka bali hutupa tunachotafuta kwa kuanza na kunia kupata. Leo tuangazie kona ya kuishi maisha yetu halisi, Tambua unawajibu wa kuishi maisha yako sio maisha ya mtu Fulani mashuhuri au mzazi wako. Maisha yetu yanaweza kutiwa hamasa na mtu ila sio kigezo cha kuishi kama yeye binafsi naita huo ni uvivu wa kufikiri. Hizi ni kanuni kumi sita za kuishi maisha yako. Penda kupenda . Upendo ni hali  ya asili ila  inataka utayari wa mtu husika, katika upendo mambo mengi yanafanikiwa, upendo ni dawa sio ya homa bali ya maisha kwa ujumla. Ndio maana vitabu vya kiimani imesisitiza sana, na kikristo upendo ni Mungu, yani Mungu ndio pendo. Ukitaka kuishi maisha yako kuna upendo unatakiwa kuwa nao, ni ule unaotokana na Mungu yani unaweza  mpenda  m...

LATE MWALIMU NYERERE J.K LEGACY

Image
rethink relive Mwalimu ni kiungo kikubwa cha maendeleo kama akijitambua na kutambulika na jamii husika yenye uhitaji huo. Mwalimu Nyerere alizaliwa Mwaka 1922 April 13 kijijini Butongo, mzanaki huyu hakuwa mzanaki ilipofika wakati wa kupigania Uhuru na ukombozi. Hi heshima kubwa kushirikishana mchango mkubwa wa Mwalimu Nyerere katika kupigania Uhuru wa taifa na bara lote la  Africa. Kiongozi ambaye maamuzi yake na hoja zake zilileta matokeo chanya kwa  taifa. Alisaidia kuundwa kwa TANU Mwaka 1954 kuwa chama cha kisiasa jambo lililo mchukiza gavana wa uingereza Sir.Richard Gordon Turnbull. Alifanya maamuzi magumu ya kuacha kazi ya ualimu  akiwa Mwalimu Pugu sekondari kama sehemu ya masharti aliyopewa na gavana kuwa achague moja kati ya siasa  au kazi. Alishikiria maslahi ya wengi kuliko yake... "Niliogopa. Nikamuuliza Julius ikiwa ninachokisikia ni kweli, alipojibu ndio nikaogopa zaidi. Nikamwambia anachokifanya ni kibaya, Mungu amempa kazi unataka kuiha...

DO IT BEFORE 30's

Image
Have you ever heard of that term "forever young". Living like young person while you are old, is a dream of every person. In fact you can't stay young all of your life but you can challenge a chronological aging by maintaining a young like life. Everything starts from your mind. People says that thoughts can't be diagnosed, which is not right. Thoughts can be known right from your living. What you think can habitually manifested through what you eat, wear, speak, watch, spend time with and so many others. Here down are things to do when you feel like aged and you have made a decision of staying young until a gate way to unknown world comes. IMPORTANT THINGS TO DO BEFORE YOU TURN 30's Congratulation for being such aged. You’re still young, but you’re starting to move into fully-mature adulthood. So how exactly should you change you life for the better? There are things to do before you turn 30. It will be better to begin at 20's specifically 24 for...

KUJIKATAA.KUKATALIWA.KUKATA TAMAA.

Image
Habari ya uzima ndugu msomaji wangu, natumaini u mzima wa afya. Nimekuwa natamani kuandika kila mara, ningelikuwa mtoto mdogo ningechora kwenye mchanga. Leo tuangazie kuhusu kujikataa, kukataliwa na kukata tamaa. Maneno haya yanabebana kimantiki licha  ya kutofautiana katika matumizi. Kujikataa, kukataliwa na kukata tamaa ni kati ya mambo yanayojitokeza kwenye maisha ya wengi wetu. KUJIKATAA;- Siku yako ya kwanza kufunguka ufahamu na kuelewa namna  ulimwengu ulivyo ndio ulichukua hatua  ya aidha kujikubali au kujikataa. Mungu ni fundi  wa ajabu alitaka maisha yetu yote tuishi tukihamasishana kwa vile tulivyotofauti tofauti. Amempa mtu  mmoja hekima mwingine busara sio kwamba mwenye hekima ajidharau kwa kukosa busara, ila  waishi ulimwenguni wakijifunza na kubadilishana ujuzi. Mawazo ulioweka juu  yako kuhusu hadhi uliyonayo, elimu,pesa, mwonekano na vingine, ndio yanapelekea ujenge mtazamo wa kujikataa. Inashangaza sana kuona akina Dada wana...

KUWA WEWE

Image
rethink  KUWA WEWE umewahi jiuliza unapenda kuwa nani kwenye maisha yako? au umewahi kuulizwa unapenda kuwa nani kwenye maisha yako?, wengi hutoa majibu ya ajira wanazopenda na wengine hufika mbali hata kutaja kampuni wanayopenda kufanyia hiyo ajira. Sio mbaya sana ila ni hafifu inakupima kiasi gani kwenye maisha yako hujawahi fikiri kutawala na kumiliki. Mungu hakuumba watu mashuhuri na wasio mashuhuri aliumba wote sawa na kuwapa uwezo mbalimbali unaotofautiana........                "tu sawa lakini hatulingani" Tangu nimefahamu uwezo uliondani yangu sijawahi tamani kuwa flani, nasikitika kwa nini sikufahamu mapema uwezo nilionao. Leo ukiniuliza unataka kuwa nani nitakujibu nataka kuwa MIMI yaani vile nilivyojaaliwa na mwenyezi Mungu kuwa wapekee ndivyo niwe. Usiogope wewe pia una UWEZO.....Uwezo wako unaweza kuwa kwenye vidole vyako kama vile mimi ninavyochapa hili chapisho, unaweza kuwa kwenye miguu kama vile Lionel Messi anavyowa...

MWEZI WA NANE

Image
rethink MWANZO MPYA NA YESU KRISTO Neno mwanzo mpya linaweza kuwa ngumu kulielewa na nini kusudi LA kulifanya kuwa kichwa cha chapisho hili,namba ni mafumbo yaliyoanza tumika miaka mingi sana ulimwenguni. Namba ni viwakilishi vya vitu au mambo flani.Leo tuangazie kona ya biblia na namba pamoja na tafsiri yake, na tujikite kwenye namba inayowakilisha mwezi tulionao Wa nane. Namba nane inamaana kubwa kwa Mungu, mpaka kufanya mwanzo Wa juma uwe ni siku ya nane. Kila kitu katika biblia chenye mwanzo mpya kimefungamanishwa na namba nane. Mwezi Wa nane. Mwezi Wa nane ni mwezi unaosimama badala ya mwanzo, ufufuo, na ukombozi Wa mwanadamu kwa damu ya Yesu. (Kuzaliwa upya) Imenifurahisha kuona kuwa Leo ni jumatatu siku ya kwanza ya juma kwa wengi wetu na ni siku ya kwanza ya mwezi. Ila hii sio sababu halisi ya kuwa mwanzo mpya katika mwezi huu. Biblia inasema nini? Mungu aliokoa watu nane kwa safina kipindi cha gharika ya Nuhu, ili aanzishe uzao mpya ulimwenguni. Kama ilivy...

DREAM BIG_BIG DREAM

Image
Late: Martin Luther King didn't say that i have a plan , but he said "i have a dream" Here is the whole speech.... Martin Luther King's I have a dream speech August 28 1963                I am happy to join with you today in what will go down in history as the greatest demonstration for freedom in the history of our nation. Five score years ago, a great american, in whose symbolic shadow we stand today, signed the  Emancipation Proclamation . This momentous decree came as a great beacon light of hope to millions of Negro slaves who had been seared in the flames of withering injustice. It came as a joyous daybreak to end the long night of their captivity. But one hundred years later, the Negro still is not free. One hundred years later, the life of the Negro is still sadly crippled by the manacles of segregation and the chains of discrimination. One hundred years later, the Negro lives on a lonely island of poverty in ...

DO ONE THING TODAY.....

Image
DO ONE THING TODAY.......   (Review of “The One Thing”)   MATOKEO YATOFAUTI KATIKA MAISHA YAKO YANATOKEA PALE UNAPOFANYA   TOFAUTI. Mafanikio yanataka umoja wa malengo yaani kuwa na lengo moja kwa Muda Fulani na kuliwekea mikakati ya kutimia.Unatakiwa kufanya mambo machache kwa matokeo mazuri, na sio mambo mengi yenye matokeo mabovu. Doing same things over and over and exepecting different result….           Uchu wako katika kufanya jambo hupelekea mgawanyo wa muda mwingi katika jambo hilo. Hivyo hupelekea matokeo mazuri yatayofanya ufurahie kazi hiyo na kuifanya zaidi na zaidi. Na   uchu zaidi na muda zaidi utawekeza katika kazi hiyo au jambo hilo. Inakuwa mzunguko wa matukio katika maisha. Watu wengi wanaopoangalia nyuma kwenye safari ya maisha yao mara nyingi mambo hawakuyafanya ndio yanayo wavunja mioyo. Wala yale waliyoyafanya hayawafanyi kujipa moyo sababu ni madogo sana. Hakikisha kwenye ...