Posts

Showing posts with the label URITHI

TISA DISEMBA NA UHURU WA FIKRA

Image
" Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa   fikra " moja ya nukuu za Hayati Mwalimu Nyerere JK. Akimaanisha umaskini unaotokana na fikra za kitumwa, kushindwa au kutopewa fursa ya maamuzi juu ya hatma yako, kuwepo duniani kwa lengo la  kuongeza idadi ya raia  na si  huru  kama wengine. "Hakuna anayeweza kukutawala bila kuanzia kwenye ufahamu wako" utawala mzuri na makini unaanzia kwenye fahamu yani kukufanya utengeneze fikra ya kuwa mtumwa na uwe  umeridhika na kutumika. Siku  hizi neno zuri ni  Mtumishi( ina  maana sawa na mtumwa wakati mwingine lina maanisha mfuasi). Uhuru una maana halisi ya kuwa na haki ya maamuzi binafsi bila ya kuingiliwa na mtu  au taifa lingine. Huwezi kufanya maamuzi yako bila kuhusisha fikra. Kwa maana hiyo mwenye Uhuru Wa fikra pekee ndio raia  huru  kweli na si  vinginevyo. " Mtumwa hata akipewa haki ya kuamua atafanya kama anavyofikiri Bwana wake." Uhuru tuliona...

LATE MWALIMU NYERERE J.K LEGACY

Image
rethink relive Mwalimu ni kiungo kikubwa cha maendeleo kama akijitambua na kutambulika na jamii husika yenye uhitaji huo. Mwalimu Nyerere alizaliwa Mwaka 1922 April 13 kijijini Butongo, mzanaki huyu hakuwa mzanaki ilipofika wakati wa kupigania Uhuru na ukombozi. Hi heshima kubwa kushirikishana mchango mkubwa wa Mwalimu Nyerere katika kupigania Uhuru wa taifa na bara lote la  Africa. Kiongozi ambaye maamuzi yake na hoja zake zilileta matokeo chanya kwa  taifa. Alisaidia kuundwa kwa TANU Mwaka 1954 kuwa chama cha kisiasa jambo lililo mchukiza gavana wa uingereza Sir.Richard Gordon Turnbull. Alifanya maamuzi magumu ya kuacha kazi ya ualimu  akiwa Mwalimu Pugu sekondari kama sehemu ya masharti aliyopewa na gavana kuwa achague moja kati ya siasa  au kazi. Alishikiria maslahi ya wengi kuliko yake... "Niliogopa. Nikamuuliza Julius ikiwa ninachokisikia ni kweli, alipojibu ndio nikaogopa zaidi. Nikamwambia anachokifanya ni kibaya, Mungu amempa kazi unataka kuiha...

DREAM BIG_BIG DREAM

Image
Late: Martin Luther King didn't say that i have a plan , but he said "i have a dream" Here is the whole speech.... Martin Luther King's I have a dream speech August 28 1963                I am happy to join with you today in what will go down in history as the greatest demonstration for freedom in the history of our nation. Five score years ago, a great american, in whose symbolic shadow we stand today, signed the  Emancipation Proclamation . This momentous decree came as a great beacon light of hope to millions of Negro slaves who had been seared in the flames of withering injustice. It came as a joyous daybreak to end the long night of their captivity. But one hundred years later, the Negro still is not free. One hundred years later, the life of the Negro is still sadly crippled by the manacles of segregation and the chains of discrimination. One hundred years later, the Negro lives on a lonely island of poverty in ...

SOKOINE LEGACY

Image
SOKOINE LEGACY (Father of villages development in Tanzania) Edward Moringe Sokoine aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa  Tanzania Mara mbili. 1977-1981 ikiwa awamu ya kwanza, 1983-1984 awamu ya pili ambayo hakuimaliza. aliyeiongoza katika kipindi kigumu sana cha kiuchumi na kuwa mwiba mkali kwa wahujumu uchumi. Sifa za kiongozi Kujiamini Kuheshimu nafsi yako  Kuheshimu mambo ya mwanzo ili kuendelea mbele Aliye na njaa asipewe uongozi Sokoine dhidi ya wahujumu uchumi na wazembe Misimamo yake inatupatia taswira ya Tanzania tunayoitamani. Swala la kodi na wafanyakazi hewa ni yaleyale yaliyopigiwa kelele Zama hizo kwa jina la wahujumu uchumi na wabadhirifu. Hizi ni baadhi ya nukuu za kauli za Sokoine:- “Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta: Kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra ya Mungu na Wananchi peke yake. Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda tusiwajue. Hawa hatuna sababu ya kuwapa im...