DO ONE THING TODAY.....

DO ONE THING TODAY....... (Review of “The One Thing”) MATOKEO YATOFAUTI KATIKA MAISHA YAKO YANATOKEA PALE UNAPOFANYA TOFAUTI. Mafanikio yanataka umoja wa malengo yaani kuwa na lengo moja kwa Muda Fulani na kuliwekea mikakati ya kutimia.Unatakiwa kufanya mambo machache kwa matokeo mazuri, na sio mambo mengi yenye matokeo mabovu. Doing same things over and over and exepecting different result…. Uchu wako katika kufanya jambo hupelekea mgawanyo wa muda mwingi katika jambo hilo. Hivyo hupelekea matokeo mazuri yatayofanya ufurahie kazi hiyo na kuifanya zaidi na zaidi. Na uchu zaidi na muda zaidi utawekeza katika kazi hiyo au jambo hilo. Inakuwa mzunguko wa matukio katika maisha. Watu wengi wanaopoangalia nyuma kwenye safari ya maisha yao mara nyingi mambo hawakuyafanya ndio yanayo wavunja mioyo. Wala yale waliyoyafanya hayawafanyi kujipa moyo sababu ni madogo sana. Hakikisha kwenye ...