SOKOINE LEGACY
 SOKOINE LEGACY  (Father of villages development in Tanzania)   Edward Moringe Sokoine aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa  Tanzania Mara mbili. 1977-1981 ikiwa awamu ya kwanza, 1983-1984 awamu ya pili ambayo hakuimaliza. aliyeiongoza katika kipindi kigumu sana cha kiuchumi na kuwa mwiba mkali kwa wahujumu uchumi.   Sifa za kiongozi    Kujiamini  Kuheshimu nafsi yako   Kuheshimu mambo ya mwanzo ili kuendelea mbele  Aliye na njaa asipewe uongozi          Sokoine dhidi ya wahujumu uchumi na wazembe   Misimamo yake inatupatia taswira ya Tanzania tunayoitamani. Swala la kodi na wafanyakazi hewa ni yaleyale yaliyopigiwa kelele Zama hizo kwa jina la wahujumu uchumi na wabadhirifu.      Hizi ni baadhi ya nukuu za kauli za Sokoine:-    “Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta: Kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra ya Mungu na Wananchi peke yake. Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda tusiwajue. Hawa hatuna sababu ya kuwapa im...