MASOMO 23 MWAKA 2017 UMENIFUNZA
HamasikaLeo Kama hauna ubunifu kila siku, upo kwenye njia ya kurudi ulipotoka Tabia ya kuahirisha ni mbinu ya kukwepa kufanya vitu vipya. Usifanye kitu kama hakikupi furaha. Kama haujali sana basi haujakua sawasa. Kutokuwa na utulivu Wa mawazo ni ishara ya ukuaji. Kuwa mkarimu, mwenye matumaini, mwema na jasiri katika kila fursa ya maisha. Simu yako inakugharimu kesho yako. Wakati hakuna anayeamini maono yako unatakiwa kuwa mwaminifu kwa maono uliyonayo. Wakati mwingine kitu pekee chenye tija unachoweza kufanya ni kupumzika. Kazinia kusonga mbele badala ya kuwania ukamilifu. Jifunze kwa angalau saa moja kwa Siku, kufanya hivyo kutakufanya uone fursa ambazo wengi hawaoni na utashinda. Kufuta maneno dhaifu kama "siwezi" "haiwezekani" "ni ngumu" na kutumia maneno kama " hii ni nzuri" na " ngoja tujaribu". Kama ukimuhamasisha mtu mmoja kwa siku siku yako haijapotea. Kuishi kwenye historia yako ni kutoheshimu ke...